We betting inakudai au we ndo unaidai?
Kila anaebet anasource zake za kufanya maamuz kabla hajabet, kilichokataliwa humu n kuleta matakataka yote bila kuyachuja achuje alete sa mtu analeta timu Moja option karibu zote sa itakuwa ndo nn weka hata mechi ishirin lakin lengo lako lionekane saa mtu unamimina tuu inakuwa kupotezana.
Mwisho wasiku uamuzi n wako mwenyewe kusuka au kunyoa huyo jamaa atarud soon na atapost mazaga yake hvyo chukua bet upate pesa.
Sikupangii na sijampangia mtu chakuleta humu hata yeyote anaeza andika chochote Mana internet n yako nasimu niyako.
Usikasiriike saaana utapata hasira utapoteza timing ya kubet mwishoe kanji atakugonga.
Relax bet ule/uliwe