Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Unafikiri wachawi wakoje mkuu?
Ndiyo kama hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

UKICHUNGUZAAA SANA HATA WAZAZI WAO WALIKUWA WACHAWI WAMERITHI MIKOBA NGUMU KUWABADILISHA LABDA WAFE

NAMKUMBUKA SUNGUSUNGU SANA ENZI HIZO ALIHAHA BA DIDY AKAKUTA NIMESHIKA KISU KWA JUU AKANYAMAZA NA NGO JERA ZAKE..AKARUDI TENA M NAUZA TIPS SIKUJIBU AKAKAA KIMYA ANAONA MATAKATAKA TIPS AYAISHI KAHAMIA KWA VOID...HUYU N WAKUMSAMEHE YKICHUNGUZA SANA UTAONA ANA WIVU AKIONA ZILW GREEN ZA VOID NA HUU WIVU N KUTOKANA NA UMASIKINI WAKE...MSAIDIENI KISAIKOLOJIA
 
IF we continue to have FAITH in God in our DARK times n PROBLEMS, GOD will guide us to d PATH out of d PROBLEMS. Have FAITH in GOD. Morning, have a Gorgeous Day
 
Umeeleweka mkuu.
Mchawi hawezi kukusumbua iwapo umeshamfahamu.
UKICHUNGUZAAA SANA HATA WAZAZI WAO WALIKUWA WACHAWI WAMERITHI MIKOBA NGUMU KUWABADILISHA LABDA WAFE

NAMKUMBUKA SUNGUSUNGU SANA ENZI HIZO ALIHAHA BA DIDY AKAKUTA NIMESHIKA KISU KWA JUU AKANYAMAZA NA NGO JERA ZAKE..AKARUDI TENA M NAUZA TIPS SIKUJIBU AKAKAA KIMYA ANAONA MATAKATAKA TIPS AYAISHI KAHAMIA KWA VOID...HUYU N WAKUMSAMEHE YKICHUNGUZA SANA UTAONA ANA WIVU AKIONA ZILW GREEN ZA VOID NA HUU WIVU N KUTOKANA NA UMASIKINI WAKE...MSAIDIENI KISAIKOLOJIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nisababu void hajawah tuma loss zake lkn jamaa hadi sasa kwao ana matatizo as yuko very addicted hawez jizuia nazani c muda mtaacha kumuona umu au kwa manati sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm kwa sas cwez kukubali au kukataa inawezekan unachokiongea ni kwel au c kwel na unavyosema kuhus kuliwa kweny betting hakuna mtu asiye liwa kwa hyo inawezekan anachokula ni kikubwa kuliko anacholiwa au anapoteza kingi anapata kidog.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv mbn void hatokei ajibu hiz shutuma....hata kama haituhusu lakin jukwaa limejaa ishu za void tuu..tangu juz haya maneno yalivyoibuka, ye naye hajaonekana....ila hii ya kupelekwa polic itakua uwongo mana online yupo hata saiv
 
Wengine mna zani nina muonea wivu void
Kwa taarifa yenu void kapelekwa kituoni na wazazi wake sababu ya migogolo ya fedha
Mm nahitaji jamaa tumsaidie wala msinitukane wakuu mm nina upendo wa dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu anza kwakutoa wazo unataka asaidiwe vipi??

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Wakuu nasikia void huwa analiwaga zaidi ya laki tisa kila cku ila hawezi kusema ata post tu pale akiotea
Daah uyu jamaa ana pata shida nasikia akijaribu kuacha kubet hawezi ad sasa ameanza kudokoa pesa home ili abeti na wanataka kumfukuza kwao...nimeambiwa na mtu wake wa karibu sana jamaa anashida

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu weka akiba ya maneno, Kwanza naomba wana jamiiforums mtambue hakuna humu kwenye jukwaa mtu yeyote tunayejuana personally au tumeshawahi kukutana uso Kwa uso.
Mkuu Sungusunguu nilikuwa nakuona Wa maana kumbe na wewe ni walewale, Kama biashara ya tips imegoma tafuteni kazi nyingine msitafute kiki Kwa watu tusiotoa kiki. Pia wewe si ndio karibia kila siku unakujaga Hapa unasema nipeni odd mbili nataka kuweka laki tano (500,000/=) lakini ukiambiwa onyesha hiyo mikeka unayowekaga laki tano huwa unaingia mitini, Kwa muda mfupi niliokuchunguza nimegundua wewe ni choka mbaya totally hizo kusema sijui umeweka laki tano huwa ni kujiinua tu humu ili ujisuperbrand. Lakini sasa hii vita ulioianza ni vita ya aibu kwasababu Mimi natambua wewe ni mwanaume kamili otherwise iwe tofauti.
Lakini pia kuwa kwangu kimya Kwa siku au kwa masaa ni kawaida kwasababu Mimi huwa sibeti kila mechi au sibeti kama sijaona possibility kutokana na strategy yangu. Lakini pia muda mwingine huwa nakuwa kwenye refreshments au kwenye biashara zangu zingine, Nina vyanzo vingi vya mapato sio betting tu.
Kama unatafuta mtaji kupitia uzushi, nimepiga teke hilo beseni kwasababu ninachokiona unaandaa mazingira ya kuomba michango ili kumnusuru Void. Pambana ufanye kazi upate mtaji ndio urudi humu. Void ab initio atabaki kileleni daima.
Nimeamua nikujibu ili kuweka kumbukumbu sawa kwasababu wakati mwingine uongo usipojibiwa huonekana ukweli.

NB;
Kwa wale mlio katika magroup huko nasikia kuna watu wanajifanya ni Mimi angalizo sipo kwenye group lolote na siku nitakapokuwa na group au kwenye group nitawataarifu kupitia akauti yangu hii.
 
Huu mwezi umeanza vibaya kwa maana mikeka inachanika kila siku, vipi
 
Wadau hatupati pesa ya supu kweli.
Screenshot_20190206-122303.jpeg

Bora umetokea na kuweka mambo sawa.. Topic closed!
Tuendeleze mapambano.
 
Back
Top Bottom