if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,477
- 2,089
We mkuu uko poa sana ila kuna watu humu kama haziwatoshi ,nipo maeneo fulani hapa nimeenda kwenye sehemu wanapobetia wenzetu hadi huruma ,wamejaa sana hata hewa ni nzito.ila kwa sisi tunauwezo wa kutumia vcmu vyetu na huenda tukapata tips na hali tuko tumejilaza kitandani na zalau bado zikawa nyingi ,haifurahishi aisee ,yan hata mizaha tu humu si mahala pake,mana unaweza ukaleta mzaha mtu akapoteza pesa yake na chanzo ikawa ni mizaha.Kazi IPO palepale hao malaria iliyopanda kichwani wakatibiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app