Nina million 7 kibindoni, kama una million 7 njoo tukae kama kamati tutengeneze million 35 kwa siku moja via hawa pari match. Wana mianya kibao ila mtaji unatakiwa kumake that much money.
Hii nilifataBoooooooooooooooooom
18:00 Panionios – PAOK
Pick: 3+ [Over 2.5 Goals]
Odds: [2.35]
FT: ?:?
Watu wanakula tu mamilion ya pesa. Tubet..tubet tusikate tamaa.View attachment 1015273
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina million 7 kibindoni, kama una million 7 njoo tukae kama kamati tutengeneze million 35 kwa siku moja via hawa pari match. Wana mianya kibao ila mtaji unatakiwa kumake that much money.
Ndio maana nlikuuliza sehemu yenye giant gambler wasio na pesa ya mawazo niwape idea tuunganishe mtaji, tustake heavily.
Hela kubwa inaletwa na hela kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
uliipiga lini hiyo mkuu daah umetisha bosi!!Nina million 7 kibindoni, kama una million 7 njoo tukae kama kamati tutengeneze million 35 kwa siku moja via hawa pari match. Wana mianya kibao ila mtaji unatakiwa kumake that much money.
Ndio maana nlikuuliza sehemu yenye giant gambler wasio na pesa ya mawazo niwape idea tuunganishe mtaji, tustake heavily.
Hela kubwa inaletwa na hela kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kona tano zinaweza kupatikana leo kwenye mechi ya el classico first half?View attachment 1015288
Sent using Jamii Forums mobile app
Man city wajiangalie sana, ikiwa watawaza uefa wanaweza tugharimu.
Kifupi game zote za wiki hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka tuuze ramani ya vita hadharani?Somo zaidi linahitajika Mkuu, ukihitaji wabetiji wakubwa wanapatikana Casino,
How tunaweza make mil 35??
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani picha linaanza starring anakufa kwenye maua. [emoji16]Wasiwas ushaanza tayar...bayern katundikwa