Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aisee...!!!
Screenshot_20190207-005337~2.jpeg
 
Wakuu vipi kuhusu hii Palestino Vs Ind.Medellin.

Haiwezi kwenda Over 1.5(FT),imepewa odd ya 1.46 na Betpawa,uki-stake high hapo unapiga pesa.
 
Fixed games zipo nyingi ila ni za ulaya, Germany, Turkey na Eastern Europe ndio wanafanya sana hii but wenye mitaji mikubwa ndio wanajihusisha zaidi. Game moja wanastake hadi dola 100,000/= afu hawa jamaa wakikupa game ya fixed unawalipa baada ya kula mkwanja.

Ukikutana na wale wanaokwambia toa elfu kumi wakupe fixed matches kimbia hao ni matapeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ulishawahi kujaribu
embu angalia kwenye hii link ya telegram "
ANALYSER PRO BET " iv inaezakuwa kweli hii au ni uongo!??
 
Back
Top Bottom