Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimepigwa parefu sana mkuu hadi usingizi ulikata nilimwamini sana Barca nikajua madrid hachomoki aiseee acha nimsubiri man u anipige tena ili ni uninstall kabisa hii app ya meridian kwa cm yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]itakuwa bado mgeni kwenye kubet...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa Max bet..All the best Odds izoo
View attachment 1015122
WON,
1549525434618.png
 
Wakuu jana mlizani namuonea wivu void sasa kwa taarifa yenu void katoroka kwao hayupo anatafutwa na awajajua yuko wapi lkn ktk mitandao yakijamii yuko online but nyumbani kwao hawajui jamaa yuko wapi hadi sasa
Cwez tu sema vtu visivyo na nazani nitawapatia ushahidi wa aya ndipo mtapo kuja gundua hali ilivyo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom