Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

habari wandugu,naomba maelekezo kidogo kwenye hili plz...
nimebet inplay na nikachagua away ndo ashinde kipindi naplace my bet ilkua 2:5 baada ya mechi naona mkeka umechanika.
Screenshot_20190207-163438.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emu uchunguze huu mkeka kwa makini
Utaona kwamba hela zipo sema hatuzipatii target za maana..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi hawa 1xbet ni wazima kweli? Mechi 2 sub ya kwanza itokee kipindi chapili.. Odds 2.85
Inamaana kwa 190,000 unamenya 540,000 duh
Screenshot_20190207-181114.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom