Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kubet kazi sana! Sisi huku tunahangaika kubet kihalali wakati huo huo kuna wengine ni professional wa kupanga mechi na kutupia mzigo mkubwa 6 figure za madola. Betting cartel. Umepa ushindi Galatasaray kumbe kuna Don kawapa mzigo kawambia wafe hiyo game.

Cheki hii hapa documentary uone unyambilisi wa wanaume waliotumwa hela, Daah.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeangalia kipisi cha video nimeona kuna madini fulan yamo humu.....natenga mda nichek vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…