Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu unajitahidi kuweka mbwembwe ili story inoge, unafaa kuwa mtunzi wewe. Ngapi hukooo...??? Mpaka nitolewe kwenye magazeti ndio nitarudi home, waambie wazazi wangu wanitangaze kwenye vyombo vya habari. Nimejichimbia honeymoon huku. Aisee!!!
 
Mkuu Void ulichokifanya Leo kutoa timu tatu mapema za 1H 0.5 over.

Nazani kuna member humu wamefurashwa sana, sababu umewasaidia na nakuomba uwe na moyo kama huo siku zote ili huyu kanji akili imkae sawa aisee
Hahaaa huku unapigwa kidogo halafu unapiga sana mwisho Wa siku ukitoa unapata positive balance.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…