Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo kwa mara ya kwanza nimetumia betpawa na matokeo yamekuwa kama yafuatavyo...niliogopa kuleta sababu nilikuwa natest mitambo...kesho nitakuwa naleta

Nimeliwa mikeka mitatu elfu 75000
...the rest ni kama mnavyoona....nawashukuru wote mlionionesha hiki kichaka

NB..Mimi ni mwanamke i know nothing about timu au wachezaji nacheza na mahesabu tu na kuvizia.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Valencia kanisungusungu kinyama isee
Kanichania mikeka yangu hivi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…