Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Safarico. Ina accept hela zetu
Safarico. Ina accept hela zetu
Tupeni darassa na namna ya kuzipata hizo line!Wakuu naomba kwa wale ambao wana deposit kwa mpesa Kenya watupe elimu na sisi tuweze kudeposit turudi 1xbet, hizi kampuni za bongo bado sio user friendly hususan kwenye in play na idadi ya options
Sent using Jamii Forums mobile app
Nime kupa maelekezo dmMkuu nimemaliza Regstration process 1xbet kwa mobile No, lakini sipati sms yao
Nikijaribu tena naambiwa No ishakua registered
Nikijaribu forgot password naambiwa natumiwa sms, lakini hzifiki kwangu
Msaada mwenye uelewa
Wakuu naomba kwa wale ambao wana deposit kwa mpesa Kenya watupe elimu na sisi tuweze kudeposit turudi 1xbet, hizi kampuni za bongo bado sio user friendly hususan kwenye in play na idadi ya options
Sent using Jamii Forums mobile app
vip mkuu
Hahahaaa kanji akishakula pilipili ni balaaKanji kalipuaa mpaka Group whatsapp hukoo.. Hadi over 0.5 anachanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app