Nimefanya yafuatayo:-
1. Nimetumia muda wangu mwingi kufuatilia mechi tofaut na kutambua zipi za kubet
2. Ninewafuatilia tipster wengi mpak kufikia hatua ya kulipia ili nipate mikeka
3. Nimedownload app nying kweny simu nafuatilia tips kila day.
Ila yote haya sijafikia malengo yangu kiukweli betting imenishinda wadau hebu nishaurini maana nafikiria kuachana nayo kabisa [emoji9][emoji9][emoji9]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningelikuwa moderator, huyo Chichimizi ningempa ban na kumtaka aondoe matangazo yake humu. Aendelee na wabaguzi wenzie huko wanakojuana.Anaita watu ili akawatoe. Wanachat kwa kutazama nani katuma ujumbe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo vizur.....ila sijafata
Mkuu uliwanyima?Mi nataka niwanyime goli away
Odd angalau
Safi MkuuNatumia fursa za Red card View attachment 1022739View attachment 1022740
Sent using Jamii Forums mobile app
Bet woon