Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

We baki na iko kigroup chako una invite watu afu unaanza kuwa remove baada ya mda unataka uwe una changiwa ama??

Apa apa JF pana tutosha uki taka fungua uzi wako tangaza icho kigroup chako

Sent using Jamii Forums mobile app
Wameweka sharia kuwa atayeondolewa, atalazimika kulipa ili wamrudishe. Naamini muda si mrefu wataanza kuchangishana ada ya uanachama.
 
Fursa za Red card
Screenshot_20190214-195247.jpeg
Screenshot_20190214-195430.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom