Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Mkuu inaitwaje Hii App
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wengine hata ukileta wanabaki kukosoa tu ila ukipost green wanateseka. Yaani mtu unajipinda huko unaleta possible halafu jitu halifauti likiona green linaanza kulalamika. Shida kuna watu wanataka tuliwe wote kitu ambacho ni impossible.
Pia nilichogundua humu ndani kuna mawakala wapo Kwa kazi maalumu. Kama akina soka255 au Kwa ID nyingine ni Sungusunguu hapatani Na green humu ila akikuta kilio anafurahi kweli. Aiseee...!!!
Betswall ingia Play storeMkuu inaitwaje Hii App
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hii app ina itwaje mkuu.
Betswall ingia Play store
Hatari Mkuu... Unaweka over 129.5 ngoma inaishia 129, unaweka under 140.5 ngoma inaishia 141 basi tafrani. Hahaaaaa.Kubet Basketball hapana kabsa.....mchezo una presha kama nn.....sekunde akaunti inasoma zeroView attachment 1022529
Hatari Mkuu... Unaweka over 129.5 ngoma inaishia 129, unaweka under 140.5 ngoma inaishia 141 basi tafrani. Hahaaaaa.