Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa wale mnaopost winning tu, jamaa sio kwamba tuonaona wivu hapana hicho nikipawa chako cha ku-predict even though it will depend on day ila ni vizuri mkawa mnapost mikeka yenu kabla ya winning. Maisha kusaidia na isitoshe sisi sote wabantu wa kitanzania hatuna undugu na kanji.

Pia hata wazee wa live, kama vipi wewe andika tu kwa kiufupi wakufata waufate wenye kupotezea watauache.

Note: Sio uufate mkeka wa mtu ukichanika then uwanze kumtolea lugha ya ghazabu hiyo sio fresh. Ushirikiano muhimu.
Watu waoga hawafuati hata uweke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu waoga hawafuati hata uweke

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine hata ukileta wanabaki kukosoa tu ila ukipost green wanateseka. Yaani mtu unajipinda huko unaleta possible halafu jitu halifauti likiona green linaanza kulalamika. Shida kuna watu wanataka tuliwe wote kitu ambacho ni impossible.
Pia nilichogundua humu ndani kuna mawakala wapo Kwa kazi maalumu. Kama akina soka255 au Kwa ID nyingine ni Sungusunguu hapatani Na green humu ila akikuta kilio anafurahi kweli. Aiseee...!!!
 
The strongest Ov 3.5

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alifuata hii 1.99+ odds???

[emoji23]
20190214_014857.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv soka255 ndio sungusungu kumbe dah!
Wengine hata ukileta wanabaki kukosoa tu ila ukipost green wanateseka. Yaani mtu unajipinda huko unaleta possible halafu jitu halifauti likiona green linaanza kulalamika. Shida kuna watu wanataka tuliwe wote kitu ambacho ni impossible.
Pia nilichogundua humu ndani kuna mawakala wapo Kwa kazi maalumu. Kama akina soka255 au Kwa ID nyingine ni Sungusunguu hapatani Na green humu ila akikuta kilio anafurahi kweli. Aiseee...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine hata ukileta wanabaki kukosoa tu ila ukipost green wanateseka. Yaani mtu unajipinda huko unaleta possible halafu jitu halifauti likiona green linaanza kulalamika. Shida kuna watu wanataka tuliwe wote kitu ambacho ni impossible.
Pia nilichogundua humu ndani kuna mawakala wapo Kwa kazi maalumu. Kama akina soka255 au Kwa ID nyingine ni Sungusunguu hapatani Na green humu ila akikuta kilio anafurahi kweli. Aiseee...!!!
mi mdau wako sana sema nakukimbiza kimya kimya tu weka vitu nipambambane na kanji mwanzo mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine hata ukileta wanabaki kukosoa tu ila ukipost green wanateseka. Yaani mtu unajipinda huko unaleta possible halafu jitu halifauti likiona green linaanza kulalamika. Shida kuna watu wanataka tuliwe wote kitu ambacho ni impossible.
Pia nilichogundua humu ndani kuna mawakala wapo Kwa kazi maalumu. Kama akina soka255 au Kwa ID nyingine ni Sungusunguu hapatani Na green humu ila akikuta kilio anafurahi kweli. Aiseee...!!!
Tupia tu mkuu zinaleta motivation kwa mwenye akili anajifunza kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
basketball tips*

🇺🇸houston to win
🇲🇽Capitanes to win
*2.52*
*02:00*
*Stake with 10,000 win 20,500*
(1)usa.
(2)mexico
 
MKUUUUUUU ANAARIBU MARKET ZAO NAWENGI WAMEKMBIA MAGRP YAO YA KUUZA TIPS NA SASA WANASONGA NA NYOTA YA JF

KIBAYA HAO HAOOOO SOKA 200+ WANATOA TIPS HUKU WANAPELEKA MAGRP YA KUUZA ..

YYAJAYOOOOOOOOYANAFURAHISHASNAAA
Aiseee... Watu wanaishi Kwa kuuza tips hatari. Sasa soko si limekuwa huria, wanateseka nini sasa.
 
Back
Top Bottom