Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Screenshot_20190214-005750.jpeg
Screenshot_20190214-000920.jpeg
Screenshot_20190214-000814.jpeg
Screenshot_20190213-225910.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale mnaopost winning tu, jamaa sio kwamba tuonaona wivu hapana hicho nikipawa chako cha ku-predict even though it will depend on day ila ni vizuri mkawa mnapost mikeka yenu kabla ya winning. Maisha kusaidia na isitoshe sisi sote wabantu wa kitanzania hatuna undugu na kanji.

Pia hata wazee wa live, kama vipi wewe andika tu kwa kiufupi wakufata waufate wenye kupotezea watauache.

Note: Sio uufate mkeka wa mtu ukichanika then uwanze kumtolea lugha ya ghazabu hiyo sio fresh. Ushirikiano muhimu.
 
Hizi mechi za UEFA zote nne wameenda under 0.5 HT , Aisee mtu ungejilipua hizo NNE Kwa under ht ungepiga mshindo Wa maana. Sijui wameambizana. Aiseee...!!!
 
Back
Top Bottom