Jay Gatsby
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 697
- 928
Acha kabisa mkuu
Ni hatariiii
Yaani hapa naugulia maumivu balaa
hahaha..Kwan ntakunyang'anya hyo hela mkuu?
Kampuni gani yenye option ya sub hiyo.?Naamini sub lazima ipo, mpira umekosa mbinu lazma watafanya sub
Hiii aisee niliichungulia...
Pole sana,Nimefanya yafuatayo:-
1. Nimetumia muda wangu mwingi kufuatilia mechi tofaut na kutambua zipi za kubet
2. Ninewafuatilia tipster wengi mpak kufikia hatua ya kulipia ili nipate mikeka
3. Nimedownload app nying kweny simu nafuatilia tips kila day.
Ila yote haya sijafikia malengo yangu kiukweli betting imenishinda wadau hebu nishaurini maana nafikiria kuachana nayo kabisa [emoji9][emoji9][emoji9]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] imemaliza hio odds 6Hiii aisee niliichungulia...
Halafu option ya red ilikuwa Na odd za kibabe.Arsenal kalamba Red
Acha kabisa Mkuu unapigwa Hapa, unapiga kule mwisho Wa siku hesabu zinabalance.
Futa machozi Mkuu kazi inaendelea.Arsenal kaondoka na kila kitu [emoji52], wazee wa live hapa tunalia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app