Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaaaaa.... Hizi sasa hivi naona zote zimetoa over 0.5 ht
Europa imekuwa ngumu aise.. sasa itabidi tujaribu kuzuia..
20190215_000228.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv hawa inakuaje mana HT imekata hakuna sub....dakika ya 46 ya kipind cha pili ndy sub imefanyika ikimaanisha kipind cha pili..then wao wanaandika loss..imekaaje hii
20190215_001111_rmscr-1.jpeg
 
void = empty
 

Attachments

  • Screenshot_20190215-004411.png
    Screenshot_20190215-004411.png
    25.3 KB · Views: 59
Dakika za nyongeza zishaisha...Yan mfano mech ya celtic Nimechek match details hakuna sub......baada ya second half kuanza....sub ikafanyika. Second half ilivyoanza, nika-update slip..kukawa hakuna loss....dakika chache badaye nina-update upya,nakuta loss
Je hio 46 ilikuwa ni dakika za nyongeza za first half au baada ya kipenga cha kuanza second half

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom