Jay Gatsby
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 697
- 928
Dah arsenal hata kupata goli? Ahaaahaaaa mmeniacha na kicheko Leo. Mmeondoka na klo yangu. Ngoja nifuate zingine za SAA tanoView attachment 1022823
Sent using Jamii Forums mobile app
In play ndo Dawa MahsusiAcha kabisa Mkuu unapigwa Hapa, unapiga kule mwisho Wa siku hesabu zinabalance.
Yaani mtu ungejitoa akili ukampa BATE ushindi alikuwa Na odd 9+ ukatupia hiyo laki tungekuwa tunaongea mengine.Dah arsenal hata kupata goli? Ahaaahaaaa mmeniacha na kicheko Leo. Mmeondoka na klo yangu. Ngoja nifuate zingine za SAA tanoView attachment 1022823
Sent using Jamii Forums mobile app
Ashaanza vurugu hahaaaaa....hakawii kutupia kamoja halafu akauchuna.Villareal hua hajui kuna watu wanaeka 10 mins droo
Ashaanza vurugu hahaaaaa....hakawii kutupia kamoja halafu akauchuna.
Hahaaaaa hii mechi wazo la GG HT limekuja wakati ninatafakari magoli yakaanza kuingia...hahaaaa
Hahaaaaa hii mechi wazo la GG HT limekuja wakati ninatafakari magoli yakaanza kuingia...hahaaaa
Yaani mtu ungejitoa akili ukampa BATE ushindi alikuwa Na odd 9+ ukatupia hiyo laki tungekuwa tunaongea mengine.
Sometimes kwenye betting inabidi ujitoe akili, ukifuata analysis sana kuna muda mambo hayaendi. Hahaaaaa.Daah kufanya hvyo ni labda kama huna kazi na hyo laki..maana probability ya Arsenal kufungwa na BATE ilikuwa almost 0 percent
Hata Mimi nahisi hivyo 80%
Hawa arsenal wanakatisha tamaa sana GG hawatoi,kushinda ndo hivyo wanashindaga njaa tu kama Leo,huyu na Chelsea ni kuwapiga ban kabisaDaah kufanya hvyo ni labda kama huna kazi na hyo laki..maana probability ya Arsenal kufungwa na BATE ilikuwa almost 0 percent
Tena sana sana Europa yani Europa huwa haitabirikiSometimes kwenye betting inabidi ujitoe akili, ukifuata analysis sana kuna muda mambo hayaendi. Hahaaaaa.
Hawa arsenal wanakatisha tamaa sana GG hawatoi,kushinda ndo hivyo wanashindaga njaa tu kama Leo,huyu na Chelsea ni kuwapiga ban kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
kampuni gani hio ina option ya sub ???Krasnodar washafanya sub....yan betting hakuna urahis....unaeza shangaa tu timu zinagoma hazitak sub
Ashaanza vurugu hahaaaaa....hakawii kutupia kamoja halafu akauchuna.