Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Hahaaaaa.... Hizi sasa hivi naona zote zimetoa over 0.5 htNaona kauchuna kabsa baada ya kumsema
Acha kabisa kama Jana nimejifanya kufanya sana analysis nikapishana na million nne na nusu. Aiseee...!!!
Europa imekuwa ngumu aise.. sasa itabidi tujaribu kuzuia..Hahaaaaa.... Hizi sasa hivi naona zote zimetoa over 0.5 ht
Nimefarijika kupata quote ya mmoja wa wat mashuhur wa kubet(tipster) ninaowafahamu humu ndani maybe unaweza kunishaur wapi nakosea bro Deepond
Hiv hawa inakuaje mana HT imekata hakuna sub....dakika ya 46 ya kipind cha pili ndy sub imefanyika ikimaanisha kipind cha pili..then wao wanaandika loss..imekaaje hiiView attachment 1022851
Huyo Frankfurt kashabinua beseniEuropa imekuwa ngumu aise.. sasa itabidi tujaribu kuzuia.. View attachment 1022847
Sent using Jamii Forums mobile app
We acha tu europa sio[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo Frankfurt kashabinua beseni
Yan hawa cjui wanapita vp na mkeka wang akat sub zimefanyika pind la pili...... kama hii picha ni ya celticHahaha...we jamaa huwa unanicheka sana aisee!
tentententententententententenreHiv hawa inakuaje mana HT imekata hakuna sub....dakika ya 46 ya kipind cha pili ndy sub imefanyika ikimaanisha kipind cha pili..then wao wanaandika loss..imekaaje hiiView attachment 1022851
Kuna kitu kinaitwa BREAK ni sub inayofanyika kwenye mapumziko ya Frst HalfHiv hawa inakuaje mana HT imekata hakuna sub....dakika ya 46 ya kipind cha pili ndy sub imefanyika ikimaanisha kipind cha pili..then wao wanaandika loss..imekaaje hiiView attachment 1022851
Kuna kitu kinaitwa BREAK ni sub inayofanyika kwenye mapumziko ya Frst Half
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu inasoma 46
Je hio 46 ilikuwa ni dakika za nyongeza za first half au baada ya kipenga cha kuanza second half
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh mie nimechek nimekutana na hizi subYan mfano mech ya celtic Nimechek match details hakuna sub......baada ya second half kuanza....sub ikafanyika