The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Angalia
Hili likampuni lifutwe tuuu lisirud tena huku bongo..kampuni gani hili bhana.....Walifungie kabsa
Aseh hapana...Yan wewe inaonekana unawatetea wakat details za timu zinaonekana kabsa na zimeandikwa hapo
Umeona? Hio 46"Aseh hapana...Yan wewe inaonekana unawatetea wakat details za timu zinaonekana kabsa na zimeandikwa hapo
Huyu kiaz nimeona kajieleza naye
Kwa staili hii basi hii option ina kaugumu fulani maana timu nyingi hasa first half matokeo yakiwa ovyo hua wanapga sana sub kabla sec half haijaanzaSasa nimekulewa..Huyu kiaz nimeona kajieleza nayeView attachment 1022890
Nipe hela na mimi nikuuzie.Jana nilijitoa ufahamu nikanunua odds kutoka kenya..... Yaliyonikuta sasa mmmmh
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajifanya kama vile hatujuiNipe hela na mimi nikuuzie.
Sijui huwa mnadhani kuna watu wanaona kesho.
Nipe 5000 mimi nikuuzie Odd 5000 za ukweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena hapo ukibeti huku unaongea kingereza mbona kanji ataisomaNipe 5000 mimi nikuuzie Odd 5000 za ukweli.