Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Basket Hapana kabsa....huu mchezo unafilis mtu akiwa anaona
20190215_113111_rmscr-1.jpeg
 
Naomba niwaambie kitu kuhusu kutuma na kupokea pesa 1xbet, njia pekee ambayo iko rafiki haina usumbufu ni kutumia lain ya safaricom kenya. Vinginevyo kila siku tutaombana jinsi ya kuweka na kutoa pesa 1xbet... Tafuta lain ya safaricom jisajir na ufuate maelekezo kwa atakaye hitaji maelekezo nitampa aje Dm, ila siuzi laini mimi.

Kwa njia za benki ni ngumu kwani benk nyingi hawaruhusu kufanya transaction za gambling mimi nilisha fungua akaunt ya NBC na nina Visa debit master card ila nikachemka, nina account ya stanbic visa, debit master card ila bado changamoto ni ile ile, njia pekee niliyo fanikiwa nayo ni ile ya kutumia lain ya safaricom ndio ninayoitumia hadi sasa, changamoto ya hii lain ni kwamba lazima uwe na laini ya voda ya hapa kwetu tz ndio inayo ruhusu kutuma na kupokea pesa kutoka kenya... Mambo mengine yote simple tu..

Ukifanikiwa kupata lain ya safaricom nitafute dm nikuelekeze hatua,

NB. Unapo kuja inbox naomba uniulize maswali ya msingi tu, maswali ni mengi na muda ni mchache.....

Sent using Jamii Forums mobile app


MDA MCHACHE HAYA YOTE UMEPATA WAPI.MDA KUYAANDIKA
HAPA N KUSAIDIANA KAMA.UNAWEZA TOA.MAELEKEZO HAPAHAPA ACHANA NA DM.WATU WAWEEZW.KUFAIDIKA WOOTE KUNA MTU ANA ALLERGY NA NBOC.M.N MOJAWAO..SO KAMA.N KUFAIDIKA NTAHITAJI KUFAIDIKIA HAPA.MKUU


TUSHUSHIE NONDO MKUU
 
HOPE WE R READY FOR ANOTHER CS
WE PRY FOR BOOOM INSHALLAH
LETS GO


FB_IMG_1550221285906.jpg
 
Imeingia instantly just one minute tu, nakutoa ni kuanzia 132,000/=
Wakati wa kutoa hakuna rangi uta acha ona jombaa
Bank za kibongo wamewekewa sheria kali kutoa pesa kutoka makampuni ya nje ya kamari kuthibiti utakatishaji wa fedha
 
MDA MCHACHE HAYA YOTE UMEPATA WAPI.MDA KUYAANDIKA
HAPA N KUSAIDIANA KAMA.UNAWEZA TOA.MAELEKEZO HAPAHAPA ACHANA NA DM.WATU WAWEEZW.KUFAIDIKA WOOTE KUNA MTU ANA ALLERGY NA NBOC.M.N MOJAWAO..SO KAMA.N KUFAIDIKA NTAHITAJI KUFAIDIKIA HAPA.MKUU


TUSHUSHIE NONDO MKUU
Critical Mkuu.



God's Plan.
 
Watu wegi sana wanapata tabu jinsi ya kujiunga 1xbet kutokana na kuondolewa kwenye mfumo wa malipo wa mobile .

Ntaeleza kwa kifupi njia inayoweza kuwa na unafuu
Tahadhari: sijawahi kuitumia ila nimeelekezwa na mtumiaji
So tumia hii kama muongozo, mengineyo utajiongeza.

Mahitaji
1 Line ya Safarcom ya kenya (kuipata mtihani -kidogo)
2 application ya vpn
3 Line ya vodacom tz

Ukishapata vyote hivo, install app ya vpn na iset isome upo kenya(google how to do so)
Kisha jisajili, na details za kujaza zitakuja za kenya, jaza no ya safaricom, kisha kamilisha usajili

Hamisha pesa kutoka mpesa kwenda safaricom, then deposit 1xbet......anza kubet

Withdraw kutoka 1xbet kwenda Safaricom, then hamisha kwenda mpesa,

Sijui kiwango cha kuwithdraw.
Sijui makato.
Naambiwa popote ilipo vodacom basi safaricom inapatikana

NB
Kumbuka utakua unabet kwa ksh na sio tsh

Mengine jiongeze kutafuta
 
Back
Top Bottom