The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Liverpool au naniWamenichania mkeka
Sent from my Iphone using Tapatalk
True mkuu, sema kwa wenye mitaji mikubwa ndo itawafaaSasa mkuu kufikisha hii 132000 huoni ni mtihani kwa hela zetu hiz na mech zenyew hiz...Bitcoin kule kuanzia 25 unatoa....
Lazima ukajaze form i think pale NMB watakupa master card kama unatumia Chap Chap cardVP kuna haja ya kuverify Card au ipo ok maana crdb mpaka ukaverify kwa ajili ya malipo ya nje
Kama una card ya nmb mastercard unailink tu na online transaction ukienda branch yyte watakujazia form, in 24 hours tu itakuwa tayari.
Naomba niwaambie kitu kuhusu kutuma na kupokea pesa 1xbet, njia pekee ambayo iko rafiki haina usumbufu ni kutumia lain ya safaricom kenya. Vinginevyo kila siku tutaombana jinsi ya kuweka na kutoa pesa 1xbet... Tafuta lain ya safaricom jisajir na ufuate maelekezo kwa atakaye hitaji maelekezo nitampa aje Dm, ila siuzi laini mimi.
Kwa njia za benki ni ngumu kwani benk nyingi hawaruhusu kufanya transaction za gambling mimi nilisha fungua akaunt ya NBC na nina Visa debit master card ila nikachemka, nina account ya stanbic visa, debit master card ila bado changamoto ni ile ile, njia pekee niliyo fanikiwa nayo ni ile ya kutumia lain ya safaricom ndio ninayoitumia hadi sasa, changamoto ya hii lain ni kwamba lazima uwe na laini ya voda ya hapa kwetu tz ndio inayo ruhusu kutuma na kupokea pesa kutoka kenya... Mambo mengine yote simple tu..
Ukifanikiwa kupata lain ya safaricom nitafute dm nikuelekeze hatua,
NB. Unapo kuja inbox naomba uniulize maswali ya msingi tu, maswali ni mengi na muda ni mchache.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuja mikono kichwani [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]kesho jaribu uoneHivi huyu jamaa ni mkweli?au anataka aniingize kingi?View attachment 1023086View attachment 1023087
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee ume jaribu kutoa??Kama unavyoona hapo mm nilideposit 1500 lakini kwenye account imeingia 1495.80/= wamekata 4.15 tsh hayo ni makato madogo sana kuliko wale wa Bitcoin ninavyoona mimi
Kwenye kutoa kuna tabu ndio but, ili kupunguza gharama ni bora ukadeposit kwa nmb na ukatoa kwa bitcoin atleast charges zinakuwa hafifu.Mzee ume jaribu kutoa??
Muulize avorgado tabu anayo ipata kwenye kutoa pesa kupitia hao hao NMB
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wa kutoa hakuna rangi uta acha ona jombaaImeingia instantly just one minute tu, nakutoa ni kuanzia 132,000/=
Critical Mkuu.MDA MCHACHE HAYA YOTE UMEPATA WAPI.MDA KUYAANDIKA
HAPA N KUSAIDIANA KAMA.UNAWEZA TOA.MAELEKEZO HAPAHAPA ACHANA NA DM.WATU WAWEEZW.KUFAIDIKA WOOTE KUNA MTU ANA ALLERGY NA NBOC.M.N MOJAWAO..SO KAMA.N KUFAIDIKA NTAHITAJI KUFAIDIKIA HAPA.MKUU
TUSHUSHIE NONDO MKUU
HatariiiView attachment 1023185
Hawa wanawak vip
1xbet njia utakayo ingizia ndio utakayo toleaKwenye kutoa kuna tabu ndio but, ili kupunguza gharama ni bora ukadeposit kwa nmb na ukatoa kwa bitcoin atleast charges zinakuwa hafifu.
1xbet njia utakayo ingizia ndio utakayo tolea
Hawaruhusu kuingiza nmb ukatoa biticon au vinginevyo