G
Kama mtu atakuwa ameshaisajili kenya kwani ikija huku itaitaji udawnload vnp tena mkuuWatu wegi sana wanapata tabu jinsi ya kujiunga 1xbet kutokana na kuondolewa kwenye mfumo wa malipo wa mobile .
Ntaeleza kwa kifupi njia inayoweza kuwa na unafuu
Tahadhari: sijawahi kuitumia ila nimeelekezwa na mtumiaji
So tumia hii kama muongozo, mengineyo utajiongeza.
Mahitaji
1 Line ya Safarcom ya kenya (kuipata mtihani -kidogo)
2 application ya vpn
3 Line ya vodacom tz
Ukishapata vyote hivo, install app ya vpn na iset isome upo kenya(google how to do so)
Kisha jisajili, na details za kujaza zitakuja za kenya, jaza no ya safaricom, kisha kamilisha usajili
Hamisha pesa kutoka mpesa kwenda safaricom, then deposit 1xbet......anza kubet
Withdraw kutoka 1xbet kwenda Safaricom, then hamisha kwenda mpesa,
Sijui kiwango cha kuwithdraw.
Sijui makato.
Naambiwa popote ilipo vodacom basi safaricom inapatikana
NB
Kumbuka utakua unabet kwa ksh na sio tsh
Mengine jiongeze kutafuta
Mkuu nimekutumia PM. please ichungulie.MDA MCHACHE HAYA YOTE UMEPATA WAPI.MDA KUYAANDIKA
HAPA N KUSAIDIANA KAMA.UNAWEZA TOA.MAELEKEZO HAPAHAPA ACHANA NA DM.WATU WAWEEZW.KUFAIDIKA WOOTE KUNA MTU ANA ALLERGY NA NBOC.M.N MOJAWAO..SO KAMA.N KUFAIDIKA NTAHITAJI KUFAIDIKIA HAPA.MKUU
TUSHUSHIE NONDO MKUU
Akko - ( 1Γ & 0-3 )Lyon - (1 & 2-5)
Nimes - ( 1Γ & 2+ )
Brest - ( 2x & 0-3 )
Juventus - ( 1 & 3+ )
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana kwamba First half isijefanyika Sub upande wowote sio2nd Half boss
Void, wewe ni noma!! Hongera mkuu..Aiseee... Weekend inanukia.View attachment 1023255
Aiseee acha Mkuu hawa Australia wamenifurahisha Leo yaaani namaliza kutega ndoano magoli yanaingia mfululizo hata dakika tano hazijaisha goma limetick.Void, wewe ni noma!! Hongera mkuu..
Bora umewaotea aisee.. Wale akina Melbourne Victory wameondoka na twenty yangu.. Niliwatega kwa over 2.5Aiseee acha Mkuu hawa Australia wamenifurahisha Leo yaaani namaliza kutega ndoano magoli yanaingia mfululizo hata dakika tano hazijaisha goma limetick.
SUBGUSUNGUUUSOMAAAHIOOOOOOOOAiseee... Weekend inanukia.View attachment 1023255
Kama mtu atakuwa ameshaisajili kenya kwani ikija huku itaitaji udawnload vnp tena mkuu
Pole Mkuu, Australia sometimes wanakuwa na matokeo ya kipuuzi.Bora umewaotea aisee.. Wale akina Melbourne Victory wameondoka na twenty yangu.. Niliwatega kwa over 2.5