The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Naona hii mechi ya benfica imezingua...under ni presha
Game ya Man city naiona ina goli 3 halftime
Maana sio kwa kikosi cha mauaji kama hili
Kwa hivi vijamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamezitema balaaaVipi leo Germani wamekubali kutoa 0.5 over first half maana kunagame yao imeanza sasa hivi
na odds zake zimepandaWakina Wader bremen nataka niwape under 0.5 1h
Mnaonaje?
Wayaaaaaa, ushatiki asee, mm naangalia ili nikaplace nakuta wayaaaaaa boooomHertha Berlin
Over 0.5HT
Boom, nimeifata sema niliweka mpunga mdogoWakina Wader bremen nataka niwape under 0.5 1h
Mnaonaje?
Nilisita kuplaceBoom, nimeifata sema niliweka mpunga mdogo
We jamaa mchawi...
Hatari...magoli yanafungwa yanakataliwa sijui na refa alibet. Hahaaaa
Tuwe nao makini wasije ondoka na mitaji yetu.Hawa City vp? Siwaelewi!!!!
Ungeeka laki tungesema mengine
Acha aisee...!!!Ungeeka laki tungesema mengine