Dah alibaki yeye na barcelona naona ashakubali kibla hii kazi hatari
Mkuu amesepa na mtaji wangu!Mimi kwa odds alizopewa nikajua leo atafunga zaidi ya goli sita, kwa kujikadiria nikampa OVER 4.5. Anachokifanya sasa hivi uwanjani hata sikioni.
So far so good
Bado dakika kadhaa
Hapa nimeminya korodani goli lisiingie
Mkuu limechomolewa dah
Hahaaa sungusunguu ana gundu ukimuona humu ni full black.Refa kaongeza dk 6
Wanaume wakachomoa dk 90+6 daaaah
Akijaga tu sungusungu balaa linaanza
Pole mkuu
Refa kaongeza dk 6
Wanaume wakachomoa dk 90+6 daaaah
Akijaga tu sungusungu balaa linaanza
Pole mkuu
Mwishooni wameachia, ndomana nikachukua changu mapema.
Hahaaa sungusunguu ana gundu ukimuona humu ni full black.
OkyZiliongezwa dk 4 sema kuna arguments zilitokea
Mkuu hizo ungezipiga single single bado ungecheka kihindi tuDuuh...wewe Hertha umeamua kumuokoa Kanji hahaaa...!!! Ningeweka under ningekuwa nacheka kihindi.View attachment 1024421
The lion never settleInatosha kwa leo aisee