Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa madogo wa ujerumani u19 inaonekana wamekamiana sana
Sijui ni wanyime magoli?
Madogo hawajaniangusha bana
Imeitikaa
Screenshot_2019-02-17-17-01-01-1.jpeg
 
UKIKAMATA NA ZILE BONUNS MPWAAA

SUNGUSUNGU LAZIMA AKUTAFUTE UNAPOKAAA A

Kuna mbuzi mmoja wa Kijerumani wa kuitwa Dinamo dresden katoka 0-0 kashasepa na Pesa ngoja tuzame inplay


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimechelewa kupost
Sijui odd zimekaaje now
Worth trying
Screenshot_2019-02-17-17-29-44-1.jpeg
 
Back
Top Bottom