Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani under sometimes zinalipa na pressure yake ni dakika ndogo tu unajua matokeo

Game nyingi now zipo kuanzia dk 70 hadi 80

Unarisk tu hakuna goli
Japo odd ni ndogo ila zinalipa
Mfano odd 1.5 ukirisk elf10 unapata buku 5 faida

Stake ikizidi na mpunga unazidi
 
Hivi betpawa wanaruhusu kudeposit kwa namba ambayo hujajisajilia? Nina hela kwenye vodacom ila nilisajilia halotel wakati najiunga na betpawa.. Vipi? Naweza kufanya deposits via voda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tondela
Hii timu ya kuitwa Tondela iliwahi kunipa mpunga mzuri sana kama mara mbili hivi mfululizo

Let me try again

Ft under 1.0

Usibeti na hela ya mtaji please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…