Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Hawana shida mkuu
No yoyote toka mtandao wowote
No yoyote toka mtandao wowote
Hivi betpawa wanaruhusu kudeposit kwa namba ambayo hujajisajilia? Nina hela kwenye vodacom ila nilisajilia halotel wakati najiunga na betpawa.. Vipi? Naweza kufanya deposits via voda?
Sent using Jamii Forums mobile app