Hivi betpawa wanaruhusu kudeposit kwa namba ambayo hujajisajilia? Nina hela kwenye vodacom ila nilisajilia halotel wakati najiunga na betpawa.. Vipi? Naweza kufanya deposits via voda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tondela
Hii timu ya kuitwa Tondela iliwahi kunipa mpunga mzuri sana kama mara mbili hivi mfululizo
Let me try again
Ft under 1.0
Usibeti na hela ya mtaji please
Nina kalaki voda ngoja niingize..nibeti timu moja tu fasta.Hawana shida mkuu
No yoyote toka mtandao wowote
Mkuu unanitisha ujue...Mechi ya Tondela GG
Mechi ya Tondela GG
Valencia hanaga mbwembwe za kufunga magoli mengi ila naona betpawa kabana sana kwenye underMkuu Void Valencia wananishawishi under
Unaonaje mzee wa over?
Mkuu Void Valencia wananishawishi under
Unaonaje mzee wa over?
Mkuu mie nimebackup tu hapo hapo nyaya ikatikisikaMechi ya Tondela GG
mechi under 1.5 inatoa ila Khanj kabania oddsAisee una roho ngumu!
Uniambie na mm hiyo timu ambayo una ujasir wa kueka laki
Mkuu umemuacha Genoa alikua anaizidisha hiyo kama Mara tano hivi.
Daah! Mkuu sikujua. Leo naona kama timu za hela zimeshamaliza kutoa mpunga.Mkuu umemuacha Genoa alikua anaizidisha hiyo kama Mara tano hivi.
Okay nahitaj ushaur wako Kaka nifanyajeYale yote uliyoelezea pale,
Hayawezi kukufanya ukafanikiwa katika betting.
ie:
Huwez kulitatua tatizo, kwa njia zile zile zilizotengeneza Tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee... Mkuu ukijiwekea ratiba kuna timu ambazo huwa zinatema Pesa, ukizijulia hizo ndio za kujilipua stake kubwa.Daah! Mkuu sikujua. Leo naona kama timu za hela zimeshamaliza kutoa mpunga.
Sent using Jamii Forums mobile app