Kimadrid
Inshallah
Game inaniumiza kichwa hiiView attachment 1025182
Inshallah
Game inaniumiza kichwa hiiView attachment 1025182
Nimepigwa mkuu
Mkuu nyingi zinatoka wapi tena wakati ulisema nimefulia???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sungu sungu anatesekaa...Mkuu nyingi zinatoka wapi tena wakati ulisema nimefulia???
Kashaleta gundu mpaka sevilla kashindwa kupata goli, yaani akishabadilisha I'd tu mambo yanakuwa shaghala baghala.Nakwambia kila siku ukija tu wewe gundu linaanza
Anapata shida sana. Hahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sungu sungu anatesekaa...
Sent using Jamii Forums mobile app