Mzee baba nenda kajionee option zilizopo huko utashindwa weweHivi 1xbet kuna uzuri gani hko? maana naona watu wanahangaika sana kudeposit pesa wkati kuna Kampuni kibao simple tu kama Betpawa..
Najaribu kufungua site yao ila naona inazingua au ndo mpka utumie VPN?
Hahaaa niliwapiga kamilioni siku moja sasa kukatoa nikaanza kuulizwa lundo la documents. Aisee eee!!!Iko poa ila mi imenishnda ukila km ujala utoaj wa ela mlolongo sana....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu n rahc kiivo kwel coz m pia nahiitaji san ase afu arakaa snaaAcha kusumbuka DOGO nenda ofisi za uhamiaji na elf kumi na tano na picha mbili pale reception kamata mdada/mkaka mshikishe afu nenda kanywe chai dk kumi nyingi unapewa pass yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina draw hiyoHili limech la Atletco na juve bora tu niliiache mana siliiielew....Dc cyo Dc, over 0.5 yan ina 1.14 wakat odd za hiv tushazoea ni kwa over 1.5 golz..ingetakiwa over 0.5 iwe 1.04 huko..odd zenyew ni ukakas tupu...bora niangalie...under 2.5 et ina 1.45 saiv..ukakas tuu yan!! Utashangaa mara yafungane. Under 3.5 ni 1.13odd ambaz ni za over 1.5 golz. Ukakas tupuView attachment 1027665
Mpe juve mazimaHili limech la Atletco na juve bora tu niliiache mana siliiielew....Dc cyo Dc, over 0.5 yan ina 1.14 wakat odd za hiv tushazoea ni kwa over 1.5 golz..ingetakiwa over 0.5 iwe 1.04 huko..odd zenyew ni ukakas tupu...bora niangalie...under 2.5 et ina 1.45 saiv..ukakas tuu yan!! Utashangaa mara yafungane. Under 3.5 ni 1.13odd ambaz ni za over 1.5 golz. Ukakas tupuView attachment 1027665
Bado dk 2 tusubrHaina draw hiyo
Wape wote wawili kwa single single
Whoever win unahesabu faida
Ngoja tuone mana mech haipo wazMpe juve mazima
Imetoa na 2h underNimeitega na ft View attachment 1027667
THX MPWAA WANGU SIKIA UKIMWI USISIKIA CANCER MPWAAA MTU ANAOZA UNAMWONAAAA SOSAD INDEED BRS
Kama ulifuata hii imeitikaaaAfrican special VIP TIPS
Hii inatoka premium acc, eti ni sure odds 99%
Try at your own risk
Stake what you can afford to lose View attachment 1027103
Safi odd tano za ukweliKama ulifuata hii imeitikaaaView attachment 1027675