Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aiseee mkuu Nina siku kama mbili sijafika hapa jukwaani. Ila nimejitahidi kufuatilia qout za nyuma mpaka nikapata kuhusu hiyo mbinu ya Over.

Sasa kazi iliyobaki ipo kwangu mkuu
Safi sana,,,over chukua wastani wa jumla wa points ndogo kabisa za game husika kama zinavyooneshwa kwenye sofascore

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom