Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Corners
Screenshot_20190220-170613.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kuna mwingine akiweka hela kupitia bitcoin hlf akawa anabet huko 1xbet na wakat wa kutoa hata kama kuna makato lakin anabaki na faida kubwa.....inategemea tu mana mwingn anaona urahis wa kupata hela upo 1xbet kuliko atumie hiz zingn na akose hivy bora atumie tu hiyo bitcoins
True asee, tunafilisika kwa hii njia aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi odds zilipofikia ukicheza karata vizuri unacheka kihindi

Tengeneza single mbili
Moja mpe win Juve
Kisha mpe na Atletico win

Stake 100,000 kila single

Akishinda yeyote unapata 290,000
Ukitoa stake zako unabaki na 90,000 iliosimama

NB
Ole wako watoe draw utalia kilio cha kichinaView attachment 1027393
Nikiweli ngoma ikienda kati nihatari kwa afya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kuna mwingine akiweka hela kupitia bitcoin hlf akawa anabet huko 1xbet na wakat wa kutoa hata kama kuna makato lakin anabaki na faida kubwa.....inategemea tu mana mwingn anaona urahis wa kupata hela upo 1xbet kuliko atumie hiz zingn na akose hivy bora atumie tu hiyo bitcoins
Ni kweli hapo kila mtu na hesabu zake ila kwa sisi wengine kama mimi mf napanga kabisa nideposit let say 100k halafu inaingia 80k hapo tu inaanza kunidiscourage kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na vipi kuhusu upatikanaji wa pasi ya dharura ya usafiri east Africa region.upatikanaji wake ukoje

Sent using Jamii Forums mobile app
nakumbuka mm nilifuatiliaga kipinfi flan nilipata ndani ya siku moja tu nilienda uhamiaji nikajaza fomu nikapewa risiti za kulipa nikaenda bank kulipa nikarudi uhamiaj nikapewa pass ya east afrika ya mwaka mzima ni ndan ya siku moja tu sasa sijajua kwa sikuizi maana hiyo ilikua ni miaka mitano iliyopita
 
Back
Top Bottom