Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sawa, mfowadie hii...

PSG - win (1.35)
RANGERS- win (1.45)
MAN CITY- win (1.32)
JUVENTUS- win or draw (1.40)
BORDEAUX- win or draw (1.25)
Total Odds: 4.52

Sasa sijajua ukimfowadia ndo itakuwaje hapo!
Yeye anajilipua kama ulivyo au anaedit Al ahly Simba win 1.25
sevila win either half 1.42
Man city away over 1.5-1.3
PSg win 1.35
Rangers win.1.4
Total 5.1*300,000=1,5000,000
 
kivip mkuu? Ukishinda mpunga wako si unakua kwenye a/c ya 1xbet halafu wewe ndio unawithdraw kidogo kidogo. Sasa hao safaricom watahitaji id za nn tena, labda useme 1xbet ndio watahitaji hivyo
No sio safaricom watahitaji verification, 1xbet ndio watahitaji ili kuruhusu hela iingie kwenye safaricom yako.
Labda utoe kidogo kidogo, ila ukitaka uitoe yote hiyo hela utaipoteza
 
No sio safaricom watahitaji verification, 1xbet ndio watahitaji ili kuruhusu hela iingie kwenye safaricom yako.
Labda utoe kidogo kidogo, ila ukitaka uitoe yote hiyo hela utaipoteza
Kama kuna mtu anatumia mpesa ya kenya. Nataka nimtumie 515ksh kutoka skrill, alafu atanisaidia kunitumia paypal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anacheza inplay basketball anatupiaje tips kabla!?

Sent using Jamii Forums mobile app

Anayecheza inplay basket, football au Hata isipokuwa Inplay Kwa mchezo wowote ule kinachotakiwa humu sio kupost kabla ila Cha msingi ni kutoa mbinu unafanyeje Kuotea mpaka kumpiga Kanji kwahyo Maana kushare tips Kunasaidia but kwa muda mfupi ila Mbinu zinasaidia milele


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Screenshot_2019-02-20-14-30-50.png
Na leo hivi hivi tena, angalau ya bando
 
Yapo leta 10000 nikupe Odd 50000. Mtanzania kuamini hadi aone kwa macho.
Sasa si ucheze wewe hizo Odds 50,000/= upate pesa?Kwanini sasa unalia njaa na unaomba upewe elf10 wakati una Odds 50,000/ ambazo we mwenyewe ukiweka buku tu utapata mil50.....Ebu acheni ujinga aiseee
 
Kuna live zinaendelea jamani
Sio msubiri maumivu ya uefa tu saa 5 usiku
Screenshot_2019-02-20-15-10-26-1.jpeg
Screenshot_2019-02-20-15-10-39-1.jpeg
 
Back
Top Bottom