Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hizi timu za Tanzania ni ngumu sana kuvusha OVER 2.5 (achana na Yanga, Simba na Azam kwa mbali) Popote utakapoona option ya under 2.5 shuka nayo jumla jumla.

tz.png
l
 
Huyu mhindi ana utani, yaani Yanga ikishinda halafu mbao asipate goal ndio odds hizo! Bora fedheha kuliko lawama.


yanga yetu.png
 
Back
Top Bottom