Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sungusungu Night bundle
Screenshot_2019-02-20-01-15-57-1.jpeg
 
Sasa mbona walikubali ni place bet mpaka game inaisha wana zifuta dah

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo ilivyo Mkuu, yaani hapo ni sawa Na kusema nampa Fulani ushindi matokeo yakiwa draw nirudishiwe stake yangu. Na ndicho walichokifanya kwako, no bet ina maana hakuna so wanakata kuashiria hujashinda wala hujapoteza.
 
Jaman mwenye namba ya Mtu anaesajili line za Safaricom hapa mwanza anijulishe. Bitcoin sio poa deposit 45000 1xbet inaingia 37000

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta ma dreva wanaoenda silali akakusajilie lain ,tena kama munafahamiana ni vzuri zaidi,pia kunawanafunzi wakenya huwa wanakuja mwanza mara kwa mara nao hao hawana shida anaweza kukuletea hata laini kumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom