Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kule vitambulisho vinavyotumika ni vya watu wa kenya Sio Tz halafu vitambulisho vipo vya kutosha uwezi kukosa Sio lazima utumie chako

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo anayekusajilia si ni MTU mnayefahamiana mfano mm yng kanusajilia shemeji yng!!sasa ukisema uchukulie wadau afu line itumike ndivyo sivyo(hatuombei)huoni wakitrack usajili Huyo bw. Atakua matatizoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🚫FREE FOR TRUST🚫
🚫COUNTRY: ENGLAND
🚫MATCH: ACCRINGTON - OXFORD
🚫TIP: DRAW (HALFTIME)
🚫TRUST ME AND MAXBET
 
🔹 İSTEYEN OYNAR İSTEYEN OYNAMAZ 🔸

⚽ Liverpool - Bayern { MS 1 } 2.40✔️

⭐ Gùven : 1000%
🔴 OYNAYACAK OLAN ARKADAŞLARA BOL ŞANSLAR DİLERİM 🔵

🔹 İSTEYEN OYNAR İSTEYEN OYNAMAZ 🔸

⚽ Lyon - Barcelona { MS 2 } 2.00✔️

⭐ Gùven : 1000%
🔴 OYNAYACAK OLAN ARKADAŞLARA BOL ŞANSLAR DİLERİM 🔵

🔹 İSTEYEN OYNAR İSTEYEN OYNAMAZ 🔸

⚽ Staines - Tivertown { 3+ } 1.80 ✔️

⭐ Gùven : 1000%
🔴 OYNAYACAK OLAN ARKADAŞLARA BOL ŞANSLAR DİLERİM 🔵
 
LEOO NA KESHO CHAMBUA BAHATIYAKOO
Screenshot_20190219-221031.png
Screenshot_20190219-221005.png
 
Sasa mkuu Mbona ww upo karibu tu na mpaka wa kenya tafuta cku panda magari ya Mwanza to Sirari ukishavuka boda tu na kuingia kenya hapo sirari laini zipo za kutosha utatafuta sehemu utasajiliwa laini na kulipia elfu 10 ya kitambulisho cha kenya maalumu kwaajili ya usajili halafu usajili wa laini ni elfu 2500 na utanunua vocha unarudi zko mwanza kabla hata cku haijaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sisi wa kigoma au mtwara au mbambabay tunaweza tumia HIZI line?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv hawa UEFA wanatuekea mech usiku hiv watu tushachoka namna hii.....ingetakiwa waonyeshe zote saa3:45 na cyo kusubir tu kwa ngaz fulan tu ya mashindano
 
DRW MAMELODY WALIOFWATA CONGS

★ Time: 6:30pm GMT+1
★ Date: 19- 02 - 2019
★ League: South Africa
★ Match: Mamelodi Sundown Vs Polokwane
★ Tips ⇨ [FT X]
★ Odds ⇨ 3.45✔️✔️✔️✔️✔️✔️

🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏

GAME WON 🤑🤑🤑🤑🤑🤑

CONGRATULATIONS all

4.10 ODDS ✔️✔️✔️✔️✔️✔️
 
Pumbavu........
We ungekuwa na uhakika wa odds 50,000 ungesongana na sisi humu JF

Kachukue mkopp Bank wekadhamana nyumba ya mzee wake then tupia kwenye hizo odds za 50,000 uwe bilionea
Pumbavu hujanielewa wewe mbung'o acha kukurupuka nyamafu..
 
Back
Top Bottom