Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bet9ja Booking Number: Z66283G9

Iran
Gol Gohar - Malavan Bandar Anzali FC
Gol Gohar
1.68

AFC
Ulsan Hyundai - Perak FA
Over (2.5) Goals
1.30

Iran
Sorkh Pooshan - Mes Rafsanjan FC
Over (2.5) Goals
1.97

Total Odd : 4.30
 
Woooi
IMG_20190219_211854_695.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba ufafanuzi 1/1,1/2 ,X/X,2/2,2/1
Mambo ya Ngumu kumeza odd mlima
*1/1 Home ashinde HT Na Full time
*1/2 Home ashinde HT Na Away Ashinde FT
*X/X Mechi itoke Draw HT Na FT
*2/2 Away ashinde HT Na FT
*2/1 Away ashinde HT Na Home ashinde FT
 
Daily correct score
**********************
Z6635DZT


1490 League Two
Oldham Athletic - Morecambe
2-0 /2-1
8.20
Single

Odd8.20
 
5odds
Booking Number:Z662WSSY

19/02/2019 20:45
Accrington Stanley - Oxford Utd
1X

19/02/2019 20:45
Portsmouth - Bristol Rovers
1

19/02/2019 20:45
Notts County - Newport County
1X

19/02/2019 20:45
Oldham Athletic - Morecambe
1

Stake: ₦ 0.0

*5.42 odds*
 
Jaman mwenye namba ya Mtu anaesajili line za Safaricom hapa mwanza anijulishe. Bitcoin sio poa deposit 45000 1xbet inaingia 37000

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu Mbona ww upo karibu tu na mpaka wa kenya tafuta cku panda magari ya Mwanza to Sirari ukishavuka boda tu na kuingia kenya hapo sirari laini zipo za kutosha utatafuta sehemu utasajiliwa laini na kulipia elfu 10 ya kitambulisho cha kenya maalumu kwaajili ya usajili halafu usajili wa laini ni elfu 2500 na utanunua vocha unarudi zko mwanza kabla hata cku haijaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbrass:
*Z65Y3WZT*

*Bad times will soon be over winning begins*

Ebbsfleet Utd - Hartlepool Utd
Under Home(2.5) H/A O/U 2.5
1.18
♻️♻️♻️♻️
2066
Maidstone Utd - Halifax Town
NG HT GG/NG HT
1.10
♻️♻️♻️
2822
Woking - Hemel Hempstead
Under(4.5) O/U 4.5
1.11
♻️♻️♻️♻️
1490
Oldham Athletic - Morecambe
1 DNB
1.19
♻️♻️♻️♻️
3369
Liverpool - Bayern Munich
Under Corner(12.5) O/U Corner 12.5
1.28
♻️♻️♻️
3366
Lyon - Barcelona
No Red Card Red card
1.14
♻️♻️♻️♻️
MULTIPLE
*Odds3.50*

@ TELEG.👇
⚽Famousbet
 
Sasa mkuu Mbona ww upo karibu tu na mpaka wa kenya tafuta cku panda magari ya Mwanza to Sirari ukishavuka boda tu na kuingia kenya hapo sirari laini zipo za kutosha utatafuta sehemu utasajiliwa laini na kulipia elfu 10 ya kitambulisho cha kenya maalumu kwa then usajili wa laini elfu 2500 na utanunua vocha unarudi zko mwanza kabla hata cku haijaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm Niko sirar kwa sasa narud mwanza kesho tatizo ni je? Ukimsajilia MTU afu line itumike bahat mbaya kwenye mambo mabaya huyu aliyesajili kwa majina yake atakua kwenye hali gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm Niko sirar kwa sasa narud mwanza kesho tatizo ni je? Ukimsajilia MTU afu line itumike bahat mbaya kwenye mambo mabaya huyu aliyesajili kwa majina yake atakua kwenye hali gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kule vitambulisho vinavyotumika ni vya watu wa kenya Sio Tz halafu vitambulisho vipo vya kutosha uwezi kukosa Sio lazima utumie chako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bitcoin njia ya wizi sana ilee... Niliwahi weka 5000 mpesa kuja kufika kwenye acc 3000 sijui[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mamaee zaooo sijarudi tenaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyewe nilitest kuweka buku 2, 1xbet ikaja kufika 1500 na kidogo, na hapo bado makato ya kutoa mpesa sh 350. Nikaamua kutumia kadi ya benki, nikaona 1x haikubaliki. Nikaitumia melbet ikakubali.
 
Back
Top Bottom