Ukishakuwa na account localbitcon ingia buy kwenye site ya localbitcoin tafuta wabongo wanaouza bitcoin wanakupa namba za uwakala aidha tigo voda airtel una withdraw una confirm kisha wanakuhamishia kwenda kwenye bit coin account .
Baada ya dakikia 10 hivi mzigo unasoma kwenye account yako kisha nenda 1xbet ingia topup via bit coin kuna address wanakupa unaikopi then unarudi kwenye bit coin account Una weka ile address na kiasi cha pesa unamaliza baada ya dakika kama 10 mzigo unasoma 1xbet
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk