Ivi hawa sportspesa hawawekagi mechi za tanzania, coz nimecheki mechi ya Lyon vs simba dakika ya 30 ilikuwa 0-0 ili nimpe simba ashinde sikuiona aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Mkuu ila sasa utatumia njia gani?Exactly, hata mimi nimeona hicho kitu Makato ni Makumbwa mno imagine nilikua na 6443 kwenye Tigo pesa nikadeposit 5000 kwenda BTC account nikakatwa 850......,Then ktk hio 5k niliodeposit nikasend tena kwenda 1x nikaambulia 4070Tshs duh hapo nimelost karibia buku nzima tena Aisee huenda hii Ikawa Mwisho kutumia njia ya BITCOIN kudeposit 1Xbet maana najaribu kuimagine pesa ikiwa kubwa na hayo Makato yote si itakuwa sawasawa na hasara tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pigabet
Ivi hawa sportspesa hawawekagi mechi za tanzania, coz nimecheki mechi ya Lyon vs simba dakika ya 30 ilikuwa 0-0 ili nimpe simba ashinde sikuiona aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni namna kudepost helaTembelea 1XBET pekee ndiyo wana kila mechi hususan football hata jkt ya Oljoro nina imani utawakuta huko
Sure lolote linaweza kutokea ni kama jana tu united na Chelsea yoyote alikua na uwezo wa kushinda, ni kujilipua tu na yoyote au kuipotezeaMwenyew ndo nilikuwa nafikiria hvyo sema hyo mechi i thnk chochote kinaweza kutokea..
Naomba mawasiliano ya yule muheshimiwa anayeweze kunipatia laini ya safaricom inahitajika moja niko Arusha mjini
Sent using Jamii Forums mobile app