Umeelewa nilichoandika mkuu
Kuna tatizo limetokea kabla ya mech haijaisha home team imepewa magoli 3 hlf away ikafutiwa ninachouliza kutokana na tatizo ilo maana yake mech haikufika dk za mwisho ivyo narudishiwa hela au vp

We ndio haukusoma maelezo vizuri hlf unajibu simple tu over 5.5 ni kuanzia magoli 6 sasa mtu gani anabet over 5.5 hlf asijue magoli mangapi, haya mkeka huu hapa mechi iyo imefutwaToa maelekezo vizur mbona unakigugumizi au weka mkeka hapa tuone !!!
Hapo umeliwa.Wakuu kwa mfano umebeti over 5.5 timu zikafungana 2 kwa 3 hlf home timu kabla ya dakika za mwisho ikapewa magoli 3 alafu away ikafutiwa magoli yote na home team ikashinda 3 kwa 0 hapo unakua umeliwa au unarudishiwa mpunga maana nimeangalia kwenye betting rule sion hii na imetokea betpawa
hapo sawa nashukuru kwa ilo jibu sio mijitu mingne hata haisomi maelezo inajibu jibu tu ovyoHapo umeliwa.
Unajua kuna Bodi yao inaweza kuamua matokeo fulani na kumpa ushindi timu fulani.
Sasa ile bodi ingekuwa imechelewa kufanya hivyo (mfano mpaka wewe ungekuwa tayari umelipwa hapo sawa, ila Bodi kama imetoa hayo matokeo kabla hata wewe hujalipwa, ina maana umeliwa)
Nb: hiyo Bodi nimeisahau jina lake.
: mimi imewahi kunitokea hiyo Premier bet, ila walichelewa nikawa nimeshalipwa.
Nilijua yote hayo, baada ya kuniandikia HASI KWENYE AKAUNTI, Nikawasiliana nao, wakanipa majibu na ile NEGATIVE HELA wakaitoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo sawa nashukuru kwa ilo jibu sio mijitu mingne hata haisomi maelezo inajibu jibu tu ovyo
Sorry mkuu kuna mzigo mrefu kwenye iyo mech imenichanhanya kidogoUsianze matusi ss watu walikuwa wanajaribu kukusaidia hapa, ndo maana siku nyingine mnakuwa hamsaidiwi alafu mnaishia kulalamika..
Timu za bongo Simba yanga,mtibwa etc nazipata kampun gani?
Sorry mkuu kuna mzigo mrefu kwenye iyo mech imenichanhanya kidogo
Mkuu leo unatokaje,dondosha hadi odds 5 tuokote.Mkuu issue inakuja unataka ku withdraw and let say unataka kutoa 1m kwa uo mlolongo si makato yatafanya nipate laki 8 au kutoa bitcoins no makato?