Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna pesa hapa
Screenshot_20190221-164507.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia nyingine unaweza deposit toka visa card au Master card then wakati was kutoa ukatolea kwa skrill account km unayo baada ya hapo kwa kuwa Bado bank zetu zinazingua kupokea uka deal na huyu jamaaa mwrct yey anakutumia kwa m pesa au Tigo makato kama NI us 100*21000 kiasi kinachopatokana anakata 2000

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu fafanua vizuri hapa kuwithdraw from 1x kwa njia ya skrill inakuwaje hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"@mbet.co.tz kwa mara ya pili mwaka huu wanamtangaza mshindi wa #Perfect12. Anaitwa Simoni Muray amejishindia Tsh 81,097,540. Huyu jamaa ni mkulima kutoka Manyara. Naendelea kusisitiza Perfect 12 ya M Bet ndio Jackpot inayoongoza kutoa washindi"- Allen Mushi , Marketing Manager wa M Bet
Mi nime-copy na ku-paste tuuView attachment 1027994
Aisee hakuna kitu sipendi kama kutangazwa namna hii kwa ma tv nk
Ingekuwa unatiwa mzigo kimya kimya ingekua poa zaidi
 
Aisee hakuna kitu sipendi kama kutangazwa namna hii kwa ma tv nk
Ingekuwa unatiwa mzigo kimya kimya ingekua poa zaidi
Haa ha ha... Mtu kama huyu afu kesho unamkuta kitaa ana ganga njaa.. Ndugu wanakukumbuka kama wotee hivii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu issue inakuja unataka ku withdraw and let say unataka kutoa 1m kwa uo mlolongo si makato yatafanya nipate laki 8 au kutoa bitcoins no makato?
Kule masoko ya fedha, crypto ,unaangalia wa kumuuzia wanatofautiana ,sa kwa mfano umeweka laki na nusu na ikazaa hadi One M, sasa uendelee kulalamika makato tu,hata uingize elfu kumi na tano izae hata laki au zaidi, mimi ninachoona 1xbet ni uhuru wa kubeti ni mzuri kuliko sehemu zingine japo kweli ukitazama makato moyo unaishiwa speed,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu we assume hayo makato ni sehemu ya kamari yenyewe
Mishahara yenyewe tunakatwa balaaa itakua kamari
Mkuu issue inakuja unataka ku withdraw and let say unataka kutoa 1m kwa uo mlolongo si makato yatafanya nipate laki 8 au kutoa bitcoins no makato?
 
Back
Top Bottom