Aisee mkuu void kanji umemkosa kweli hapo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana ilikuwa siku ya ngekewa,Kwa mfano hapo mtu ungetia 500k ungevuna 20,500,000. Yaani ungepata faida ya milioni 20. Mkuu Dejavu mtaalamu wa kucheza na fursa, hii ilikuwa fursa adimu...hahaaa
Betting ni risk.
The higher the risk the higher the profit.View attachment 1028233
Mkuu hebu fafanua vizuri hapa kuwithdraw from 1x kwa njia ya skrill inakuwaje hapo?Njia nyingine unaweza deposit toka visa card au Master card then wakati was kutoa ukatolea kwa skrill account km unayo baada ya hapo kwa kuwa Bado bank zetu zinazingua kupokea uka deal na huyu jamaaa mwrct yey anakutumia kwa m pesa au Tigo makato kama NI us 100*21000 kiasi kinachopatokana anakata 2000
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka 1xbet kwenda skrill itakubidi kwa first time u deposit kutoka skrill kwenda 1xbet ndo baada ya hapo hiyo account ya skrill itakuwa link to 1xbetMkuu hebu fafanua vizuri hapa kuwithdraw from 1x kwa njia ya skrill inakuwaje hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una deposit vipi kwa njia ya skrill mkuuKutoka 1xbet kwenda skrill itakubidi kwa first time u deposit kutoka skrill kwenda 1xbet ndo baada ya hapo hiyo account ya skrill itakuwa link to 1xbet
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Fanya mpango ubadilishe namba utumie either Tigo au Voda manaake siku ukipiga mpunga mwingi na ukataka kuutoa kupitia Halotel unaweza ukazunguka mpaka kwenye branch.
Ila NI vema account ya skrill uka i verify mapema ila usije pata usumbufu mbeleni kutoa ku withdraw mpunga mrefu
Acha kabisa Mkuu roho inauma nimepishana Na mamilioni. Aisee...!!! Daaah.Aisee mkuu void kanji umemkosa kweli hapo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hakuna kitu sipendi kama kutangazwa namna hii kwa ma tv nk"@mbet.co.tz kwa mara ya pili mwaka huu wanamtangaza mshindi wa #Perfect12. Anaitwa Simoni Muray amejishindia Tsh 81,097,540. Huyu jamaa ni mkulima kutoka Manyara. Naendelea kusisitiza Perfect 12 ya M Bet ndio Jackpot inayoongoza kutoa washindi"- Allen Mushi , Marketing Manager wa M Bet
Mi nime-copy na ku-paste tuuView attachment 1027994
Haa ha ha... Mtu kama huyu afu kesho unamkuta kitaa ana ganga njaa.. Ndugu wanakukumbuka kama wotee hivii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Aisee hakuna kitu sipendi kama kutangazwa namna hii kwa ma tv nk
Ingekuwa unatiwa mzigo kimya kimya ingekua poa zaidi
Kule masoko ya fedha, crypto ,unaangalia wa kumuuzia wanatofautiana ,sa kwa mfano umeweka laki na nusu na ikazaa hadi One M, sasa uendelee kulalamika makato tu,hata uingize elfu kumi na tano izae hata laki au zaidi, mimi ninachoona 1xbet ni uhuru wa kubeti ni mzuri kuliko sehemu zingine japo kweli ukitazama makato moyo unaishiwa speed,Mkuu issue inakuja unataka ku withdraw and let say unataka kutoa 1m kwa uo mlolongo si makato yatafanya nipate laki 8 au kutoa bitcoins no makato?
Mkuu issue inakuja unataka ku withdraw and let say unataka kutoa 1m kwa uo mlolongo si makato yatafanya nipate laki 8 au kutoa bitcoins no makato?
Sawaaäà mkuu so niendee na 30 au sio headquarter zao pale kurasinii au town p0sta mzee nielekezee mkuuHAHAHAAAAAAA. AENDE NA 30 ANAJAZIWA NA KUSUBIRIA HAPOHAPO
20 YA OFISI 5YA MPOKEAJI 5 YA ANAENDA KUKULIPIA BANK..RESIT HALALI N 20 UKIDAI YA HIZO KUMI UTAPITA BODAYA KWENU LABDA