Ha haaa
Na ndo ilivyo isipokuwa.......Benifica na Frankfurt ndo wanaweza droo au away akashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
lost kubwaaa
Total loss siolost kubwaaa
Mkuu umejaribu kuzuia mafuriko Kwa mikono nn?Hali mbaya sana kwa upande wangu
Mkuu naugulia maumivu vibayaaaaaMkuu umejaribu kuzuia mafuriko Kwa mikono nn?