Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Kakamatiwa chini sijui atapata goli..hahaaaa Aisee..!!!Mechi ya Braga weka GG.
Kakamatiwa chini sijui atapata goli..hahaaaa Aisee..!!!Mechi ya Braga weka GG.
Betpawa
Nakuona unavyozibana maana wamegoma kuongeza goliWestHam/Fulham nliwapa Under 3.5 ... wanavyotafuta sifa sasa ... yani dk 45 za second half nizuie goli kwa kubana kende.
Sent using Jamii Forums mobile app
WestHam/Fulham nliwapa Under 3.5 ... wanavyotafuta sifa sasa ... yani dk 45 za second half nizuie goli kwa kubana kende.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee mkuu una balaaa... Hizo goli 6 ungewema yenyewe tu daah[emoji119]Aisee... Hii ilikuwa kifo Kwa kanji. hahaaaa kitu cha 76 timu tatu. Hatariii.View attachment 1029624
Acha Mkuu ila hiyo timu imemwaga sana hela nimekimbizana nayo in play.Aisee mkuu una balaaa... Hizo goli 6 ungewema yenyewe tu daah[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app