Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
ALLINPLAY
KASHIMA/southern district/ OV 2.5/
Kiwi fc ov 1.5/
gamba Osaka ov 4.5 MAXB
BOOOOOOOOOOOOOOOOOM
ALLINPLAY
KASHIMA/southern district/ OV 2.5/
Kiwi fc ov 1.5/
gamba Osaka ov 4.5 MAXB
Mpwa nipe link ya Mr opulence na wengine ambao wako freshALL
BOOOOOOOOOOOOOOOOOM
mkeka wa uhakika kama kina Braga au?We Pdidy naona unaongoza kwa tips nyingi sana ila sijawahi kuona mkeka wako wa ushindi wa wewe kama wewe ukiwa mchambuzi mzuri kwenye uzi huu! Au labda huwa sioni mimi peke angu tu?,tips zako huwa nyingi sana hadi huwa nashindwa nianzie wapi na niishie wapi.
Mimi ninaomba uwe unaweka mikeka iliyo na uhakika kuliko tips hizo nyingi zenye probability ndogo ya ushindi na huenda ww mwenyewe huzifuati ila umezipost.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman naomba mnisaidie timu ambazo first ten minutes no goal Kama 6 tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
We Pdidy naona unaongoza kwa tips nyingi sana ila sijawahi kuona mkeka wako wa ushindi wa wewe kama wewe ukiwa mchambuzi mzuri kwenye uzi huu! Au labda huwa sioni mimi peke angu tu?,tips zako huwa nyingi sana hadi huwa nashindwa nianzie wapi na niishie wapi.
Mimi ninaomba uwe unaweka mikeka iliyo na uhakika kuliko tips hizo nyingi zenye probability ndogo ya ushindi na huenda ww mwenyewe huzifuati ila umezipost.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaz walpga ot Mara 2Hmhh!! NBA leo palikua pazur.....nililala sana dahView attachment 1029989
We mtu ndio ulinipa hamasa huku kwenye basketball unatengeneza mkwanja fasta bila maumivu sana endelea kutupia vya basketball tuwe tunamnyonga muhindi
Bahat mby nikishaviweka humu tu vinaleta matokeo sio,,daahWe mtu ndio ulinipa hamasa huku kwenye basketball unatengeneza mkwanja fasta bila maumivu sana endelea kutupia vya basketball tuwe tunamnyonga muhindi
Sent using Jamii Forums mobile app