Mkuu mbona hapo kacheza normal win !!kitu ambacho hats wewe unakiweza ukitulia??Mkuu asrams, haya madini inabidi uwe unayaweka mapema tunaruka nayo aisee, especially basketball NBA nahisi unaimasta vzr sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ametoa over
Sheby nisaidie hapo juu naona kama muhindi kaniibiaQ4 imefanya maajabuView attachment 1030663View attachment 1030665
Sent using Jamii Forums mobile app
WOOON mkawithdraw
Jamani nisaidieni makampuni yasiyotoza kodi,malipo kwa m pesa ,nje ya bet power
Sent using Jamii Forums mobile app
unaweka buku ijumaa unaamka jumapili asubuhi unakutana na Khanji kachutama baada ya kushuka naye jumla jumla kwenye upenyo mgumu.
Kweli nimeamini kubet under kwa basket ni sitiresiii[emoji3][emoji3]Ametoa over
Mkuu hio ilikua ni bet in play, tuko pamoja! Nitajitahidi kwa hili.Mkuu asrams, haya madini inabidi uwe unayaweka mapema tunaruka nayo aisee, especially basketball NBA nahisi unaimasta vzr sana
Sent using Jamii Forums mobile app
ngumu kumeza timu 24
Mkuu bet gani hii?Every little helps Brothers..
Business nimefunga rasmi kwa weekend hii. [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1030399
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk