Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kazi kazi
IMG_20190224_094153_191.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Betpawa buana kuna muda unaona kabisa wameweka game fulani ya basket, ukiitegea ianze ndo utembee nayo ukija kuicheki haipo daah...wanataka tutege ndoano zetu mapema bila kwanza kuusoma upepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom