Aiseee...balaaunaweka buku ijumaa unaamka jumapili asubuhi unakutana na Khanji kachutama baada ya kushuka naye jumla jumla kwenye upenyo mgumu.
Aisee... Sipati picha kangekuwa katwenty hapo.unaweka buku ijumaa unaamka jumapili asubuhi unakutana na Khanji kachutama baada ya kushuka naye jumla jumla kwenye upenyo mgumu.
HahahahahahaAisee... Sipati picha kangekuwa katwenty hapo.
Hatariii......
Kweli nimeamini kubet under kwa basket ni sitiresiii[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure,,,ujue nilijisahau kwamba hapo nilikua nadili na NBAUnder basketball ni stress sana....Lakers na mwenzake niliweka under 224.5 vikatoka 243, vikapu vinamininika hatar...bora over tu
Mkuu bet gani hii?
Kama ulichagua win incl. Over time umewin but kama ulichagua mshindi apatikane ndani q4 hapo umelose maake hao wametoa draw baada ya quarter 4 kuisha ndo wakaongeza dk ambazo n overtime so hiyo timu imeshinda muda wa nyongeza.Waungwana msaada kidogo hiyo timu mbona naona nimekoseshwa wakati imeshinda Cal st northridge?View attachment 1030659
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi ukiitumia na wewe utakula??mbona ni option xa kawaida hats kwenye makampuni ya kibongo zipo!!,hizo odds unaona zimepanda sabbu alikua anacheza inplay
Sent using Jamii Forums mobile app
M nilweka Hm team ipate vkapu 120 na mwngne Hm team win na vkapu 227